Utangulizi wa Mhariri: Mitazamo ya Fasihi Afrika Mashariki

dc.contributor.authorWaliaula, Ken Walibora
dc.date.accessioned2026-06-03T19:31:52Z
dc.date.available2026-06-03T19:31:52Z
dc.date.issued2019-11-25
dc.descriptionJournal Article
dc.description.abstractHili toleo maalum la jarida la East African Literary and Cultural Studies, sio tu kwamba ni la kihistoria tu bali limetokea wakati mwafaka katika historia ya maendeleo ya Kiswahili. Kumekuwa na mwamko mpya kuhusiana na maendeleo ya Kiswahili ndani na nje ya Afrika Mashariki, mwamko ambao ni mwangwi wa mawanio na matarajio ya wakereketwa wa Kiswahili wa tangu azali. Baba wa fasihi ya kisasa ya Kiswahili Shaaban bin Robert au kwa jina jingine Shaaban Ulenge, alikuwa miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa fasihi ya Kiswahili na utetezi wa lugha hii ya mawasiliano mapana katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
dc.description.sponsorshipKIBU
dc.identifier.citationWaliaula, K. W. (2019) Utangulizi wa Mhariri: Mitazamo ya Fasihi Afrika Mashariki, Eastern African Literary and Cultural Studies, 5(3-4), 151-154, DOI: 10.1080/23277408.2019.1620978
dc.identifier.issn2327-7408
dc.identifier.issn2327-7416
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/11773
dc.language.isoen
dc.publisherEastern African Literary and Cultural Studies
dc.relation.ispartofseries5; 3-4
dc.subjectFasihi
dc.subjectUpya
dc.subjectUhakiki
dc.subjectMitazamo
dc.subjectAfrika Mashariki
dc.titleUtangulizi wa Mhariri: Mitazamo ya Fasihi Afrika Mashariki
dc.typeArticle

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Utangulizi wa Mhariri Mitazamo ya Fasihi Afrika Mashariki.pdf
Size:
548.76 KB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections