Athari ya Uraibu wa Dawa za Kulevya kwa wanajamii kupitia Nyimbo za Kizazi Kipya Mtandaoni

dc.contributor.authorNdinyo, Stephen Muyundo
dc.contributor.authorMohochi, Ernest Sangai
dc.contributor.authorMusungu, Joseph Juma
dc.date.accessioned2026-03-06T11:56:48Z
dc.date.available2026-03-06T11:56:48Z
dc.date.issued2025-07-06
dc.descriptionJournal Article
dc.description.abstractSuala la dawa za kulevya ni mojawapo ya masuala ibuka lenye athari kubwa katika jamii huku mtandao ukichangia hali hii. Makala haya yalichunguza madhara yake yalivyosawiriwa katika mapambano dhidi ya mihadarati kupitia nyimbo za kizazi kipya mtandaoni. Kazi hii iliongozwa na Nadharia ya Athari ya Vyombo vya Habari iliyoasisiwa na McLuhan’s (1964). Muundo wa kithamano mkabala wa kiutendaji ulitumika. Mbinu ya ukusanyaji data iliyotumika ni uchanganuzi wa yaliyomo. Mwongozo wa uchanganuzi wa yaliyomo ulitumika kukusanya data mtandaoni. Umma lengwa ulihusisha nyimbo za kizazi kipya na mtandao. Mbinu ya usampulishaji wa kimaksudi ilitumika kuchagua nyimbo za kizazi kipya za Kiswahili, suala la dawa za kulevya na mtandao wa You Tube. Kisha, usampulishaji wa kitabaka ulitumika kuainisha nyimbo kidhima na kwa kurejelea aina tofauti ya mihadarati iliyosawiriwa. Jumla ya nyimbo tano na mtandao mmoja ulilengwa. Kazi hii ililenga kupata data ya kimaelezo iliyowasilishwa kwa kutumia maelezo ya kifafanuzi, mijadala, mifano na dondoo. Matokeo ya kazi hii ni kwamba nyimbo za kizazi kipya ziliangazia athari zake kwa jamii, familia na waraibu wa dawa tofauti za kulevya kama njia mojawapo ya kuhamasisha jamii katika mapambano dhidi ya mihadarati. Makala haya yanapendekeza mitandao mbalimbali tofauti na ule wa YouTube kutafitiwa kwa kurejelea madhara ya mihadarati. Pili, uchunguzi wa athari ya uraibu wa mihadarati kwa kurejelea nyimbo nyinginezo mbali na zile za kizazi kipya. Hatimaye, madhara ya mihadarati pia yatafitiwe katika tanzu nyingine za fasihi pepe kama vile vichekesho, filamu na vipindi vya runinga
dc.description.sponsorshipKIBU
dc.identifier.citationNdinyo, S. M., Mohochi, E. S., & Musungu, J. J. (2025). Athari ya uraibu wa dawa za kulevya kwa wanajamii kupitia nyimbo za kizazi kipya mtandaoni. Eastern Africa journal of Kiswahili, 4 (1), 55-63. https://doi.org/10.51317/eajk.v4i1.764
dc.identifier.issn2958-1036
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/11275
dc.language.isoen
dc.publisherEastern Africa Journal of Kiswahili
dc.relation.ispartofseries4; 1
dc.subjectmapambano
dc.subjectmihadarati
dc.subjectmtandao
dc.subjectAthari
dc.subjectnyimbo za kizazi kipya
dc.titleAthari ya Uraibu wa Dawa za Kulevya kwa wanajamii kupitia Nyimbo za Kizazi Kipya Mtandaoni
dc.typeArticle

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Stephen+Muyundo+Ndinyo_EAJK_Vol.+4+Issue.+1+July+2025.pdf
Size:
266.82 KB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections