Department of Kiswahili and Other African Languages
Permanent URI for this collectionhttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/100
Browse
Browsing Department of Kiswahili and Other African Languages by Author "Mohochi, Ernest Sangai"
Now showing 1 - 3 of 3
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hadithi fupi_utanzu uliopuuzwa(1997) Mohochi, Ernest SangaiItem Mielekeo ya wasomi wa kiswahili na viongozi wa Afrika mashariki kuhusu lugha ya kiswahili(2011) Mohochi, Ernest SangaiLugha ya Kiswahili imeenea na kukua kiasi cha kuweza kupambana na zingine katika ngazi za kimataifa kwenye mfumo wa sasa wa utandawazi. Hata hivyo, Kiswahili hakiwezi kupata fanaka inayotarajiwa huko nje iwapo hakithaminiwi na kudhaminiwa nyumbani (Afrika Mashariki). Bado lugha ya Kiswahili inakumbana na pingamizi nyingi mno; na miongoni mwa vikwazo hivyo ni mielekeo ya lugha inayobainika katika jamii. Makala hii inajikita zaidi katika mielekeo ya viongozi wa Afrika Mashariki, na wasomi wa Kiswahili kuhusu nafasi na umuhimu wa Kiswahili. Viongozi na wasomi wana ushawishi mkubwa sana kutokana na nafasi yao katika jamii. Wote wanaheshimika na kuenziwa; viongozi kutokana na mamlaka waliyopewa, na wasomi kwa sababu ya maarifa waliyonayo. Kutokana na ukweli huo, tabia na mienendo yao, pamoja na matamko yao mbalimbali yana athari kubwa sana katika jamii. Mara nyingi, watu wengi hupenda kuiga wayafanyayo; hali inayobainika pia katika matumizi ya lugha. Kabla ya kuijadili mielekeo na matumizi yao ya lugha, maswala mawili muhimu yanayochangia ujenzi wa hiyo mielekeo katika jamii yatazungumziwa: thamani ya lugha, na zoezi la kujifunza lugha ya pili.Item The role of creative arts in the fight against COVID-19 in Kenya(East African Scholars Publisher, Kenya, 2021-02-01) Mohochi, Ernest Sangai; Mwita, James MarwaInitial response to the outbreak and fast spread of the coronavirus (Covid-19) disease was very slow in most countries. Rightly, most efforts at understanding it turned to and concentrated on the medical field, and within a very short time, its economic impact gained a central place in ensuing discussions on the pandemic. Little attention was given to non-health related aspects like the social and psychological implications, the role of religious and other traditional believe systems in understanding and combating Covid-19. Even less thought was given to contribution of the latter factors and others in efforts at fighting its wide spread and measure at containing it. This paper takes the position that fighting the Covid-19 disease needs to be multifaceted in order to present a holistic affront on the dangers it possesses. The paper argues that creative artists have a key role to play in this fight and uses examples from Kenya to indicate that role. It discusses works of artists from different genres of literature, and brings their contribution to the fore. Aspects like the presentation of the pandemic, messages contained, and language used in weaving their art are looked at and their role presented. It concludes that creative artists‘ role in society clearly goes beyond entertainment and calls for them to be included in various initiatives, spanning all sectors including sustainable development efforts and health related campaigns
