Department of Kiswahili and Other African Languages
Browse by
Recent Submissions
-
Language of Instruction under the Competency-based Curriculum of Kenya: Policy, Practice and Performance
(The International Journal of Humanities and Social Studies, 2021-11-01)In Kenya, the educational language policy stipulates that the language of instruction in lower primary Grade 1 to 3 in rural settings should be the learners’ First Language or Mother Tongue. In urban settings, the language ... -
Hadithi fupi_utanzu uliopuuzwa
(1997) -
The role of creative arts in the fight against COVID-19 in Kenya
(East African Scholars Publisher, Kenya, 2021-02-01)Initial response to the outbreak and fast spread of the coronavirus (Covid-19) disease was very slow in most countries. Rightly, most efforts at understanding it turned to and concentrated on the medical field, and within ... -
Mielekeo ya Lugha na Ruwaza za Matumizi ya Lugha ya walimu wa Kiswahiliwa shule za msingi
(KIBU, 2020-01)Mielekeo ni moja kati ya dhana za taaluma ya sayansi-tabia iliyoshughulikiwa na watafiti kwa zaidi ya karne moja iliyopita. Mielekeo imefanyiwa uchunguzi mwingi na matokeo yake kuchapishwa katika taaluma za saikolojia, ... -
Signification of HIV/AIDS in Babu Omar’s Kala Tufaha
(KIBU, 2016-06)Popular fiction takes literary ideas to the masses and ‘is meant to fulfill the spiritual enjoyment of all, it preaches values of equality and material wellbeing for all’ (Wanjala, 214).As a subgenre of popular fiction, ... -
Matumizi ya Maigizo kama Mbinu ya Kufundisha Tamthilia katika Shule za Upili, Kaunti ya Bungoma Kusini, Kenya
(KIBU, 2019-08-23)Utafiti huu ulilenga kuonyesha matumizi ya maigizo kama mbinu ya kufundisha tamthilia; mfano wa Kigogo katika shule za upili, Kaunti ya Bungoma Kusini. Ufundishaji wa somo lolote hujikita kwenye mawasiliano baina ya mwalimu ... -
Dhima ya Mwingilianotanzu katika Sherehe za Mwaka Kogwa
(KIBU, 2018-01-01)Makala hii inahusu umuhimu wa mwingilianotanzu katika fasihi simulizi ya Kiafrika kwa kutumia mfano wa miviga ya mwaka kogwa. Utafiti ulitumia miviga ya mwaka kogwa kama mfano wa jukwaa linalotoa fursa ya kudhihirisha ... -
Maudhui katika Nyimbo Teule Kwenye Kipindi cha Rauka
(KIBU, 2020-07-15)Utafiti huu unahusu maudhui katika nyimbo teule kwenye vyombo vya habari, mfano ni nyimbo katika kipindi cha Rauka katika runinga ya Citizen. Utafiti ulichochewa na haja ya kutaka kuchunguza nafasi ya vyombo vya habari ... -
Nafasi Ya Fasihi Simulizi Katika Kuwasilisha Ujumbe Kisheria: Mfano wa Uendeshaji Kesi Za Kitamaduni Miongoni Mwa Babukusu
(KIBU, 2020-12-01)Utafiti uliazimia kubainisha nafasi ya Fasihi Simulizi katika kuwasilisha ujumbe kisheria. Ulionyesha namna vipengele bainifu vya Fasihi Simulizi vinaweza kutumika kuwasilisha ujumbe kisheria. Ulifanya hivyo kwa kuegemea ... -
Vipengele vya Fasihi Simulizi Vinavyooana na Hali Katika Taaluma ya Sheria
(KIBU, 2020-08-13)Utafiti ulilenga kubainisha vipengele maalum vya Fasihi Simulizi vinavyooana na hali katika taaluma ya Sheria. Utafiti uliegemea uendeshaji wa kesi kitamaduni miongoni mwa jamii ya Babukusu. Ili kuafikia lengo hili utafiti ... -
The Role of Language in Facilitating Culture: A Case Study of the Isukha Community, Kakamega County in Kenya
(KIBU, 2019-09-06)The study explores the role of language specifically nouns in portraying masculinity in the Isukha culture during the ritual of Shilembe and the indigenous sport of Mayo. Culture is the way of life of a people. A people’s ... -
A Critical Discourse Analysis of Linguistic and Discursive Strategies Used in Kenya’s Citizen Television Advertisements to Display Gender Ideologies
(KIBU, 2020-10-14)The present study sought to examine how linguistic devices and discursive strategies used in Kenya’s Citizen TV ads which pattern men and women differently according to gender well-being. This thereby results in unconscious ... -
Tamathali za semi zinazosawiri ubabedume katika majigambo ya miviga ya shilembe na mchezasili wa mayo ya waisukha, nchini kenya kwa mtazamo wa semantiki
(East African nature & science organization, 2019-09-06)Makala hii imewasilisha baadhi ya matokeo ya utafiti wa Uzamifu uliotafitia ubabedume katika majigambo ya miviga ya Shilembe na mchezasili wa Mayo katika jamii ya Waisukha nchini Kenya kwa mtazamo wa semantiki. Utafiti ... -
Lugha kama rasilimali ya jamii: uchunguzi wa redio za fm zinazotumia kibukusu katika kaunti ya bungoma
(Moi University, 2017-01-12)Matumizi ya lugha za kiasili yameshutumiwa na watu wengi kwa kukuza ukabila haswa nchini Kenya. Hata hivyo, lugha hizi zinaweza kuwa rasilimali kwa wazungumzaji zikitumiwa vyema. Utafiti huu ulilenga kuchunguza lugha za ... -
Masimulizi katika mchakato wa ufundishaji wa kipengele maalum cha msuko katika riwaya ya kidagaa kimemwozea na ile ya chozi la heri
(Eanso, 2019-08-23)Masimulizi katika mchakato wa ufundishaji wa vipengele maaalum vya msuko katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na ile ya Chozi la Heri. Lengo la Makala haya lilikuwa ni kubainisha namna ambavyo masimulizi yalivyojitokeza ... -
Mchango wa tamasha za muziki katika ufundishaji wa uainishaji wa nyimbo katika shule za upili nchini kenya
(Eanso, 2019-08-23)Utafiti huu ulichunguza mchango wa tamasha za muziki katika ufundishaji na uainishaji wa nyimbo katika shule za upili nchini Kenya. Utafiti huu hasa ulilenga kupambanua uainishaji wa nyimbo katika tamasha za muziki, k ... -
Mchango wa tamasha za muziki katika ufundishaji wa uainishaji wa nyimbo katika shule za upili nchini Kenya
(Easo, 2019-08-23)Utafiti huu ulichunguza mchango wa tamasha za muziki katika ufundishaji na uainishaji wa nyimbo katika shule za upili nchini Kenya. Utafiti huu hasa ulilenga kupambanua uainishaji wa nyimbo katika tamasha za muziki, k ... -
Dhima ya umahuluti wa utamaduni katika uamilishaji wa nyimbo za harusi miongoni mwa wanandi
(Easo, 2019-11-15)Wakenya wengi hushutumu suala la umahuluti wa utamaduni katika nyimbo za wasanii maarufu nchini. Madai yao ni kuwa umahuluti wa utamaduni husababisha kupotea kwa utamaduni asili wa jamii mbalimbali za Wakenya na kuiga ule ... -
Baker’s strategies in translation: a lexico-semantic analysis of four luhya dialects; Lukabras, Lwisukha, Luwanga and Lukhayo in informative text
(KIBU, 2018-09-03)There exist numerous strategies of dealing with the problem of Target Language Non-equivalence in the translation of different text types. In this regard, Baker’s proposed strategies for dealing with nonequivalence at the ... -
Challenges of teaching the revised Kiswahili syllabus in secondary schools, a case study of Bungoma west district Kenya
(KIBU, 2018-09-03)The purpose of this study was to find out the challenges facing the teaching of the revised syllabus of Kiswahili in secondary schools in Bungoma West District. The performance of Kiswahili language dropped in the recent ...