Dhana Potofu Zilizopandikizwa na Wageni Kuhusu Afrika na Mwafrika:

dc.contributor.authorMalugu, Alfred
dc.contributor.authorMohochi, Ernest Sangai
dc.contributor.authorMulokozi, Mugyabuso Mlinzi
dc.date.accessioned2026-03-09T08:51:45Z
dc.date.available2026-03-09T08:51:45Z
dc.date.issued2022-03-09
dc.descriptionJournal Article
dc.description.abstractKwa muda mrefu kumekuwapo na dhana potofu kuhusu Afrika na Mwafrika. Kihistoria, suala hili linaweza kutazamwa kuanzia kipindi cha ukoloni. Msingi mkuu wa dhana hizi potofu kuhusu Afrika na Mwafrika ulijengewa msingi wake katika vitabu vya dini kama vile Biblia Takatifu, na pia mawazo ya wanafalsafa na wasomi maarufu wa kale wa Kimagharibi kama vile Carl Meinhof na Georg Hegel. Dhana potofu zilizopandikizwa zilichochea kutawaliwa kwa Waafrika na Afrika kwa jumla. Kutokana na kuwapo kwa dhana hizo, makala hii inakusudia kubainisha dhana potofu mbalimbali kuhusu Afrika na Mwafrika katika riwaya za Kezilahabi za Gamba la Nyoka, Nagona na Mzingile. Data kwa ajili ya makala hii zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchanganuzi matini. Mbinu hii ilihusisha utoaji wa maelezo ya kina kuhusu dhana potofu mbalimbali kuhusu Afrika na Mwafrika. Aidha, katika kubainisha dhana hizo, tuliongozwa na baadhi ya mihimili ya Nadharia ya Ubaadaukoloni, ambapo miongoni mwa dhana potofu zilizopandikizwa zilijidhihirisha kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
dc.description.sponsorshipKIBU, CHALUFAKITA
dc.identifier.citationMalugu, A., Mohochi, E. S & Mulokozi, M. M. (2022). “Dhana Paotofu Zilizopandikizwa na Wageni kuhusu Afrika na Mwafrika: Mifano kutoka Riwaya Teule za Euphrase Kezilahabi”, Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA Journal), Tol. 3, 2022 pp. 15-39.
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/11283
dc.language.isoother
dc.publisherCHALUFAKITA
dc.relation.ispartofseries3
dc.subjectDhana Paotofu
dc.subjectAfrika
dc.subjectMwafrika
dc.subjectWageni barani Afrika
dc.subjectEuphrase Kezilahabi
dc.titleDhana Potofu Zilizopandikizwa na Wageni Kuhusu Afrika na Mwafrika:
dc.title.alternativeMifano Kutoka Riwaya Teule za Euphrase Kezilahabi
dc.typeArticle

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
dhanapotofuzilizopandikizwanawagenikuhusuAfrikanaMwafrikamifanokutokariwayateulezaEuphraseKezilahabi.pdf
Size:
241.43 KB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections