Kisima Chenye Hekima na Hadithi Nyingine

dc.contributor.authorSimiyu, Fred Wanjala
dc.contributor.authorLeo, Sanja Leonard
dc.date.accessioned2026-07-13T08:29:12Z
dc.date.available2026-07-13T08:29:12Z
dc.date.issued2026-03-13
dc.descriptionBook
dc.description.abstractMkusanyiko huu ni wa kipekee maanake ni wa kwanza kufanywa na chama cha kitaaluma cha CHAKITA. Hivyo basi, ni kazi ambayo inagusa kina cha roho za wapenzi wote wa lugha hii adhimu ambao ni wanachama. Diwani hii ni ya kwanza katika mchakato mkubwa unaotarajiwa. Kufikia sasa, uandishi wa hadithi fupi umepevuka sana nchini Kenya na kwa wakati huu unashindana na riwaya na labda unapiku uandishi wa tamthilia ambao ni haba. Siyo kwamba tamthilia haziandikwi, la! Zipo tu ingawa hazichapishwi kwa wingi. Muhimu zaidi ni kuhusu toni mbalimbali ambazo tunazishuhudia katika utunzi wa hadithi fupi. Baadhi ya toni hizi ni kero, usisimuzi wa fikra, uchochezi wa hatua mwafaka na hata huzuni. Toni hizi zunatumiwa kuibua masuala mtambuko katika jamii. Pia ikumbukwe kwamba, kipengele hiki cha kimtindo kimechangamkiwa sana na waandishi wa hadithi fupi hivi karibuni.
dc.description.sponsorshipKIBU
dc.identifier.citationSimiyu, F. C. N. W. & Leo, L. S. (2026). Kisima Chenye Hekima na Hadithi Nyingine. Nairobi, Kenya: Tunu Publishers.
dc.identifier.isbn978-9966-59-027-5
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/11917
dc.language.isoother
dc.publisherTunu Publishers
dc.subjectDiwani
dc.subjectKisima chenye Hekima na Hadithi Nyingine
dc.subjectTanabui la maisha
dc.subjectmchuuzi
dc.subjectDaftari la dadangu
dc.titleKisima Chenye Hekima na Hadithi Nyingine
dc.typeBook

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Fred Simiyu 1_compressed.pdf
Size:
909.77 KB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections