Uhalisia na Uhalisiamazingaombwe

dc.contributor.authorWaliaula, Ken Walibora
dc.date.accessioned2024-11-15T14:22:49Z
dc.date.available2024-11-15T14:22:49Z
dc.date.issued2010-11-15
dc.descriptionArticle
dc.description.abstractJe, kuna uhusiano gani kati ya Euphrase Kezilahabi wa Tanzania na Gabriel García Marquez wa Kolombia, au kati ya Kyallo Wadi Wamitila wa Kenya na Juan Rulfo wa Meksiko ama kati ya Günter Grass wa Ujerumani na Said Ahmed Mohamed wa Zanzibar? Waandishi hawa waliotengwa kitaifa na kilugha wanaunganishwa na uamuzi wao wa kuandika riwaya kwenye mtindo usiokuwa wa kawaida, mtindo wa uhalisiamazingaombwe
dc.description.sponsorshipKIBU
dc.identifier.citationWaliaula, K.W. (2010). Uhalisia na Uhalisiamazingaombwe: Mshabaha Kati ya Dunia yao na the Tin Drum. Swahili Forum. 17(1), 143-157
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/10600
dc.language.isoother
dc.publisherSwahili Forum
dc.relation.ispartofseries17; 1
dc.subjectDunia Yao
dc.subjectThe Tin Drum
dc.subjectcomparative literature
dc.titleUhalisia na Uhalisiamazingaombwe
dc.title.alternativeMshabaha Kati ya Dunia yao na the Tin Drum 1
dc.typeArticle

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Walibora, K._ Uhalisia na uhalisiamazingaombwe.pdf
Size:
127.99 KB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections