Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini

dc.contributor.authorMohochi, Ernest Sangai
dc.date.accessioned2026-03-10T14:59:19Z
dc.date.available2026-03-10T14:59:19Z
dc.date.issued2000-03-10
dc.descriptionJournal Article
dc.description.abstractTukichunguza hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili na kuiweka katika mizani, upande mmoja ubebe tahakiki zilizozingatia maudhui na mwingine zile zilizoangaza fani, upande wa maudhui utalemewa na uzito na kuanguka. Ni kweli kuwa umuhimu wa fasihi katika jamii unatokana na jinsi ambavyo inaimulika jamii na kuichora kwa madhumuni ya kuihakiki na kuirekebisha kutokana na udhati na uzito wa mafunzo mwafaka inayoyabeba. Ni kweli vile vile kuwa fasihi ni sanaa kutokana na matumizi ya pekee ya lugha na vipengele vingine vya fani ambavyo kwa pamoja huipa sura maalum na kuyafanya maudhui yake yatufikie katika hali na umbo linalovutia. Hali hii ndiyo huiwezesha fasihi kutuingia, ikatuchoma na kutufikirisha zaidi. Ndio nguzo ya utamu wa fasihi. Katika misingi hiyo, uendelezaji wa fasihi; hasa kwa upande wa uhakiki unapaswa kuzingatia pande zote mbili za sarafu; yaani maudhui na fani inayoyabeba maudhui hayo. Makala hii imelengwa kutoa mchango huo kwa kuupa uzito upande wa fani ya fasihi kwa kuzingatia kipengele cha usimulizi. Nao uteuzi wa usimulizi umechochewa na ukweli kuwa mbinu hii haijachunguzwa na wahakiki wengi katika fasihi ya Kiswahili. Awali ya kuchambua jinsi ambavyo mbinu hii ya usimulizi imejitokeza katika riwaya ya Nyongo Mkalia Ini, dhana ya usimulizi itafafanuliwa na nafasi yake katika fasihi kuwekwa bayana.
dc.description.sponsorshipKIBU
dc.identifier.citationMohochi, E. S.(2000). Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini. Nordic Journal of African Studies, 9(2), pp. 49-59
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/11301
dc.language.isoother
dc.publisherNordic Journal of African Studies
dc.relation.ispartofseries9; 2
dc.subjectNyongo mkalia ini
dc.subjectRiwaya
dc.subjectFasihi simulizi
dc.titleUsimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
dc.typeArticle

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
parisberg,+mohochi.pdf
Size:
71.76 KB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections