Identifying and use of imagery in selected songs of Mrisho Mpoto

dc.contributor.authorMandila, Geoffrey
dc.contributor.authorOpande, Nilson
dc.contributor.authorSimiyu, Fred Wanjala
dc.date.accessioned2026-06-09T18:27:34Z
dc.date.available2026-06-09T18:27:34Z
dc.date.issued2021-06-18
dc.descriptionJournal Article
dc.description.abstractTasnifu hii inalenga kushughulikia nyimbo teule za Mrisho Mpoto. Imeshughulikia jazanda katika nyimbo hizi kwa kutumia nadharia ya kimtindo. Kazi hii inadhamiria kuchanganua jazanda katika nyimbo za Mpoto na jinsi ambavyo jazanda hizo zinachangia kuwasilisha maudhui katika nyimbo hizo. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya kimtindo ambayo inahusu matumizi ya maneno kisanaa hivyo basi kuifanya lugha kuwa ngumu au rahisi, kuzua hisia za mwandishi zinaonekana, zikionyesha dhihaka, mapenzi, matumaini, ukali au kejeli, matumizi ya tamathali za usemi kama vile tashbihi, sitiari, tashihisi na kadhalika kwa wingi, uteuzi wa msamiati uliotumika huleta mvuto kwa hadhira lengwa, matumizi ya lugha kwa kujikita katika miktadha maalumu katika kusimulia hadithi au kueleza matukio. Hata hivyo, utafiti huu umejikita katika mihimi mitatu mikuu; maneno hutumiwa kisanaa hivyo basi kuifanya lugha kuwa ngumu au rahisi; hisia za mwandishi zinaonekana, zikionyesha dhihaka, mapenzi, matumaini, ukali au kejeli kutokana na matumizi ya lugha; uteuzi wa msamiati uliotumika huleta mvuto kwa hadhira lengwa. Matokeo ya utafiti huu yalibaini kuwa nyimbo za Mrisho Mpoto kutokana na matumizi ya jazanda, wapenzi wake wengi hawazielezi vyema. Hivyo basi tukapendekeza tafiti zaidi kufanywa katika nyimbo hizi katika vipengele vingine vya kisanaa.
dc.description.sponsorshipKIBU
dc.identifier.citationMandila, G., Opande, N. & Simiyu, F. W. (2021). Ubainishaji na matumizi ya aina za jazanda katika nyimbo teule za Mrisho Mpoto. Research Journal in African Languages, 2(1).
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/11833
dc.language.isoen
dc.publisherResearch Journal in African Languages
dc.relation.ispartofseries2; 1
dc.titleIdentifying and use of imagery in selected songs of Mrisho Mpoto
dc.typeArticle

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
royallit,+mandila_compressed.pdf
Size:
206.84 KB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections