Mielekeo ya Lugha na Ruwaza za Matumizi ya Lugha ya walimu wa Kiswahiliwa shule za msingi

dc.contributor.authorWamalwa, Eric Walela
dc.contributor.authorMohochi, Ernest Sangai
dc.contributor.authorOdeo, Isaac Ipara
dc.date.accessioned2021-03-12T07:34:57Z
dc.date.available2021-03-12T07:34:57Z
dc.date.issued2020-01
dc.description.abstractMielekeo ni moja kati ya dhana za taaluma ya sayansi-tabia iliyoshughulikiwa na watafiti kwa zaidi ya karne moja iliyopita. Mielekeo imefanyiwa uchunguzi mwingi na matokeo yake kuchapishwa katika taaluma za saikolojia, isimujamii na saikolojia jamii ya lugha (Kircheri, 2010). Kwa kuwa tafiti hizo zilifanywa kwa misingi ya taaluma mbalimbali, hakuna fasili ya moja kwa moja ya mielekeo. Hata hivyo, fasili zifuatazo zitaufaidi uchunguzi huu.en_US
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/2329
dc.language.isoSwahilien_US
dc.publisherKIBUen_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/3.0/us/*
dc.subjectMielekeo ya lughaen_US
dc.subjectRuwaza za matumizien_US
dc.subjectKiswahilien_US
dc.subjectLugha na jamiien_US
dc.titleMielekeo ya Lugha na Ruwaza za Matumizi ya Lugha ya walimu wa Kiswahiliwa shule za msingien_US
dc.typeOtheren_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Wamalwa etal 2019.pdf
Size:
683.06 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: