Conferences
Permanent URI for this collectionhttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/93
Browse
Browsing Conferences by Subject "drama"
Now showing 1 - 1 of 1
- Results Per Page
- Sort Options
Item Analysis of the aspect of drama in swahili play kitumbua kimeingia mchanga(KIBU, 2018-06-12) Ndung’u, JacksonUtafitihuuumeongozwananadhariayautendajiiliyoasisiwanaWallaceBaconilikubainishaikiwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchangailiyoandikwana S.A. Mohamedimezingatiakigezokikuukatikamatinizakidramaambachoniuwezowakuwasilishwajukwaaniaunimajibizanoyausemitu.Katikautafitihuutumevitathminivipengelevinavyochocheanakufanikishautendajiwatamthiliakwenyejukwaa.Maelekezoyajukwaa,mandhari, maleba, miondoko, sauti, uangazaji, kimyanamihimilinivipengelevyautendajiambavyohuwawezeshawaigizajikuwasilishaujumbewamwandishikwenyejukwaa.Utafitihuuumejaribukubainishajinsivipengelehivivinavyofanikishauwasilishajiwaujumbekwenyejukwaana pia kutajakwaufupidhimazinazofungamananamatumiziyavipengelehivi. Utafitihuuulihusishakusomamakalanakutumiwakama data yautafitihuuambayobaadayeilichanganuliwanamwishowekuelezeamatokeokwakutumiambinuyakimaelezo. Utafitihuu pia ulihusishaukusanyajiwa data mojakwamojakutokamaktabani. Mahali pa utafitipalikuwanimaktabakatikavyuovikuupamojanamaktabayakitaifanchini Kenya nakundilengwalilikuwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchanga. Inatarajiwakuwautafitihuuutakuwamchangomkubwakwajamiiyawasomihasawanaoshughulikiautendajinavipengelevyakidramakatikafasihiandishi