Faculty of Education and Social Science(FESS)
Permanent URI for this communityhttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/61
Browse
Browsing Faculty of Education and Social Science(FESS) by Issue Date
Now showing 1 - 10 of 10
- Results Per Page
- Sort Options
Item Jungu kuu limeisha ukoko?Uendelelaji wa kiswahili kupitia uundaji wa msamiati(Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki, 2007) Mohochi, Ernest SangaiItem Kiswahili ,usambazaji wa habari na uhamasishaji wa umma kwa ajili ya maendeleo(Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki, 2007) Mohochi, Ernest SangaiItem Muyaka bin Haji_Mzalendo ama ndumila kuwili(Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki, 2007) Mohochi, Ernest SangaiItem Mielekeo ya wanafunzi kuhusu lugha ya Kiswahili:mfano wa mikoa ya Pwani na Nyanza nchini Kenya(Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki, 2007) Mohochi, Ernest SangaiItem Usawiri wa wahusika katika hadithi fupi ya kiswahili(Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki, 2007) Mohochi, Ernest SangaiItem Utekelezaji wa silabasi mpya ya somo la Kiswahili katika shule za upili: Mtazamo wa walimu(Kiswahili na Elimu Nchini Kenya pp191-204. Nairobi: Twaweza Communications & CHAKITA-Kenya, 2007) Ipara, Isaac O.Utekelezaji wa silabasi mpya ya somo la Kiswahili katika shule za upili: Mtazamo wa walimu Kiswahili na Elimu Nchini Kenya pp191-204. Nairobi: Twaweza Communications & CHAKITA-KenyaItem Fani ya isimujamii kwa shule za sekondari(Oxford University Press, Nairobi, 2008) Ipara, Isaac O.; Maina, GeoffreyFani ya Isimujamii kwa Shule za Sekondari ni kitabu kitokanacho na juhudi za makusudi za kuziba pengo la ukosefu wa vitabu kwenye ufundishaji wa somo la Isimujamii katika shule za sekondari. Kitabu hiki kimeandikwa na wataalamu wenye tajriba pana katika taaluma ya lugha na ufundishaji wake. Ni zao la utafiti wa kina na tathmini ya mahitaji ya wanafunzi na jamii. Upekee wa kitabu hiki unatokana na jinsi kinavyozingatia mahitaji ya walengwa. Kitabu kimekusanya mada na vipengele vyote vya Isimujamii vilivyomo katika silabasi mpya na kuvizamia kwa uketo. Aidha, maudhui yameshughulikiwa kwa namna inayosisimua na kuchochea hamu ya wanafunzi na walimu. Maelezo nayo yametolewa kwa utoshelevu na kwa njia sahali inayobainisha kwa uwazi dhana na hoja ili kurahisisha usomaji na uelewa. Mifano kemkemu inayokita katika mazingira na miktadha halisi inayofahamika imetolewa ili kukipa kitabu nguvu za kipekee. Kila sehemu ina maswali yenye lengo la kuzindua fikira za walengwa, kuwapa mazoezi na kuwapiga msasa. Fani ya Isimujamii kwa Shule za Sekondari kimeandikwa ili kukidhi kikamilifu mahitaji ya silabasi mpya ya Kiswahili na kuwapa wanaokitumia umilisi katika matumizi ya lugha kwenye nyanja mbalimbali. Kwa hakika kitabu hiki ni wenzo tosha kwa mwanafunzi anayejiandaa kuukabili ipasavyo, na kwa kujiamini, Mtihani wa Kiswahili wa Kitaifa wa Kidato cha Nne.Item Information needs of women refugees at Kakuma refugee camp in Kenya(LAP Lambert Academic Publishing, 2013-06-19) Kilei, Ndukuh CharlesThe number of civil wars worldwide has increased dramatically since the end of the cold war,(1943-1991)The global increase in civil wars is because of ethnic and religious conflicts (Quick;1995). Refugees in acute crisis leave their homelands suddenly with little prior planning and with no choice about their destination. Information is very important to every aspect of society and to understand the information needs of immigrants is indeed essential for librarians or service providers in order to provide better services to them. Fisher [et al..] (2004) have specifically recognized the fact that immigrants are generally perceived to be information poor, meaning they face major challenges with finding and using greatly needed everyday information. In fact, immigrants need information constantly of all types like every other person for the development of a person.This piece of work targets the women refugees Information needs,this is because women have unique information needs such health issues because they are more exposed to disease and other woman related complications. They are also prone to deprivation of rights and exploitation than their male counterparts.Item DSC 052: Introduction to social work and community development(KIBU, 2017-09-12) KIBUDSC 052: Introduction to social work and community developmentItem Ijaribu na Uikarabati(Oxford University Press East Africa Ltd 2018, 2018) Waititu, Francis; Ipara, Isaac O.