Analysis of the aspect of drama in swahili play kitumbua kimeingia mchanga
dc.contributor.author | Ndung’u, Jackson | |
dc.date.accessioned | 2019-04-02T10:27:29Z | |
dc.date.available | 2019-04-02T10:27:29Z | |
dc.date.issued | 2018-06-12 | |
dc.description.abstract | UtafitihuuumeongozwananadhariayautendajiiliyoasisiwanaWallaceBaconilikubainishaikiwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchangailiyoandikwana S.A. Mohamedimezingatiakigezokikuukatikamatinizakidramaambachoniuwezowakuwasilishwajukwaaniaunimajibizanoyausemitu.Katikautafitihuutumevitathminivipengelevinavyochocheanakufanikishautendajiwatamthiliakwenyejukwaa.Maelekezoyajukwaa,mandhari, maleba, miondoko, sauti, uangazaji, kimyanamihimilinivipengelevyautendajiambavyohuwawezeshawaigizajikuwasilishaujumbewamwandishikwenyejukwaa.Utafitihuuumejaribukubainishajinsivipengelehivivinavyofanikishauwasilishajiwaujumbekwenyejukwaana pia kutajakwaufupidhimazinazofungamananamatumiziyavipengelehivi. Utafitihuuulihusishakusomamakalanakutumiwakama data yautafitihuuambayobaadayeilichanganuliwanamwishowekuelezeamatokeokwakutumiambinuyakimaelezo. Utafitihuu pia ulihusishaukusanyajiwa data mojakwamojakutokamaktabani. Mahali pa utafitipalikuwanimaktabakatikavyuovikuupamojanamaktabayakitaifanchini Kenya nakundilengwalilikuwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchanga. Inatarajiwakuwautafitihuuutakuwamchangomkubwakwajamiiyawasomihasawanaoshughulikiautendajinavipengelevyakidramakatikafasihiandishi | en_US |
dc.identifier.issn | ISBN: ISBN: 978-9966-59-011-5 | |
dc.identifier.uri | http://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/515 | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | KIBU | en_US |
dc.rights | Attribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 United States | * |
dc.rights.uri | http://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/3.0/us/ | * |
dc.subject | Utendaji, | en_US |
dc.subject | tamthilia | en_US |
dc.subject | Nadharia ya Utendaji | en_US |
dc.subject | drama | en_US |
dc.subject | Vipengele vya utendaji | en_US |
dc.title | Analysis of the aspect of drama in swahili play kitumbua kimeingia mchanga | en_US |
dc.type | Other | en_US |