Kidagaa Kimemwozea

dc.contributor.authorWalibora, Ken Waliaula
dc.date.accessioned2020-04-20T13:22:46Z
dc.date.available2020-04-20T13:22:46Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractToleo la Shule "Kila kazi kuu ya fasihi huwa imejengwa katika misingi ya sitiari ya safari; na katika riwaya hii ya mawanda ya kiepiki, Ken Walibora katupatia mojawapo ya kazi hizo kuu za fasihi. Kidagaa Kimemwozea imejaa ucheshi sambamba na majonzi. Ni riwaya iliyojaa mijadala mizitomizito ya masuala ya kijamii, iliyojificha katika ucheshi, sitiari, taswira, na tashtiti. Kwa kupitia mbinu kadhaa za kisanaa, ikiwemo ya vitabiri na mara mojamoja virejeshi, Ken Walibora kaonyesha tena ufundi wake mkubwa wa kutuchorea hali halisi za wanyonge wanyongwao. Ha, hawa ni wanyonge ambao hatimaye wanaamua liwalo na liwe. Kidagaa Kimemwozea ni riwaya ambayo anwani yake inatuachia maswali mengi: Nani huyo ambaye kidagaa kimwemwozea? Jina la riwaya hii linatufanya tujiulize je, huyo ambaye kidagaa kimemwozea, kimemwozea vipi wakati si rahisi kwa dagaa kuoza? Kwa namna gani,na kwa nini? Hi kuyajibu maswali haya, inatubidi tuungane na wahusika wake kwenye safari ya kujisaka,turudi nyuma na kuanza kuisoma tena upya riwaya hii ambayo ukianza kuisoma huwezi kuiweka chini. "Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea ni miongoni mwa riwaya bora zaidi za Kiswahili zilizowahi kuandikwa. Kwa mara nyingine tena katika lugha tamu na kwasi Ken Walibora ameoanisha fani na maudhui kwa umahiri wa aina yake. Almuradi riwaya hii imesukwa ikasukika, ikapikwa ikapikika na kuandikwaen_US
dc.identifier.issn13: 9789966002860
dc.identifier.urihttps://www.youtube.com/watch?v=TwtPuCq6pgo
dc.identifier.urihttp://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/1892
dc.language.isoenen_US
dc.publisherarget Publicationsen_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/3.0/us/*
dc.titleKidagaa Kimemwozeaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Walibora_Kidagaa kimemwozea.pdf
Size:
5.05 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: