Search
Now showing items 101-108 of 108
Mchango wa tamasha za muziki katika ufundishaji wa uainishaji wa nyimbo katika shule za upili nchini Kenya
(Easo, 2019-08-23)
Utafiti huu ulichunguza mchango wa tamasha za muziki katika ufundishaji na
uainishaji wa nyimbo katika shule za upili nchini Kenya. Utafiti huu hasa
ulilenga kupambanua uainishaji wa nyimbo katika tamasha za muziki,
k ...
Lugha kama rasilimali ya jamii: uchunguzi wa redio za fm zinazotumia kibukusu katika kaunti ya bungoma
(Moi University, 2017-01-12)
Matumizi ya lugha za kiasili yameshutumiwa na watu wengi kwa kukuza ukabila haswa nchini Kenya. Hata hivyo, lugha hizi zinaweza kuwa rasilimali kwa wazungumzaji zikitumiwa vyema. Utafiti huu ulilenga kuchunguza lugha za ...
The influence of police-community partnership strategy on social relations in Nairobi county, Kenya
(Target Publishing, 2019-10)
Post terrorism security intervention strategies cut across social, cultural, economic and political lens of
the society. It is a vague area in social life that calls for sociological approach and few studies have been ...
The Role of Language in Facilitating Culture: A Case Study of the Isukha Community, Kakamega County in Kenya
(KIBU, 2019-09-06)
The study explores the role of language specifically nouns in portraying masculinity in the Isukha culture during the ritual of Shilembe and the indigenous sport of Mayo. Culture is the way of life of a people. A people’s ...
Matumizi ya Maigizo kama Mbinu ya Kufundisha Tamthilia katika Shule za Upili, Kaunti ya Bungoma Kusini, Kenya
(KIBU, 2019-08-23)
Utafiti huu ulilenga kuonyesha matumizi ya maigizo kama mbinu ya kufundisha tamthilia; mfano wa Kigogo katika shule za upili, Kaunti ya Bungoma Kusini. Ufundishaji wa somo lolote hujikita kwenye mawasiliano baina ya mwalimu ...
Signification of HIV/AIDS in Babu Omar’s Kala Tufaha
(KIBU, 2016-06)
Popular fiction takes literary ideas to the masses and ‘is meant to fulfill the spiritual enjoyment of all, it preaches values of equality and material wellbeing for all’ (Wanjala, 214).As a subgenre of popular fiction, ...
Dhima ya Mwingilianotanzu katika Sherehe za Mwaka Kogwa
(KIBU, 2018-01-01)
Makala hii inahusu umuhimu wa mwingilianotanzu katika fasihi simulizi ya Kiafrika kwa kutumia mfano wa miviga ya mwaka kogwa. Utafiti ulitumia miviga ya mwaka kogwa kama mfano wa jukwaa linalotoa fursa ya kudhihirisha ...
Education and Poverty Correlates: A Case of Trans-Nzoia County, Kenya.
(Academic Journals, 2015-09)
Education is widely accepted as the main backbone of growth and development of individuals and the nation. However, its achievement continues to elude many who are poverty stricken. Government of Kenya introduced free ...