Analysis of the aspect of drama in swahili play kitumbua kimeingia mchanga
Abstract
UtafitihuuumeongozwananadhariayautendajiiliyoasisiwanaWallaceBaconilikubainishaikiwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchangailiyoandikwana S.A. Mohamedimezingatiakigezokikuukatikamatinizakidramaambachoniuwezowakuwasilishwajukwaaniaunimajibizanoyausemitu.Katikautafitihuutumevitathminivipengelevinavyochocheanakufanikishautendajiwatamthiliakwenyejukwaa.Maelekezoyajukwaa,mandhari, maleba, miondoko, sauti, uangazaji, kimyanamihimilinivipengelevyautendajiambavyohuwawezeshawaigizajikuwasilishaujumbewamwandishikwenyejukwaa.Utafitihuuumejaribukubainishajinsivipengelehivivinavyofanikishauwasilishajiwaujumbekwenyejukwaana pia kutajakwaufupidhimazinazofungamananamatumiziyavipengelehivi. Utafitihuuulihusishakusomamakalanakutumiwakama data yautafitihuuambayobaadayeilichanganuliwanamwishowekuelezeamatokeokwakutumiambinuyakimaelezo. Utafitihuu pia ulihusishaukusanyajiwa data mojakwamojakutokamaktabani. Mahali pa utafitipalikuwanimaktabakatikavyuovikuupamojanamaktabayakitaifanchini Kenya nakundilengwalilikuwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchanga. Inatarajiwakuwautafitihuuutakuwamchangomkubwakwajamiiyawasomihasawanaoshughulikiautendajinavipengelevyakidramakatikafasihiandishi
Collections
- Conferences [159]
The following license files are associated with this item: