Mielekeo ya Lugha na Ruwaza za Matumizi ya Lugha ya walimu wa Kiswahiliwa shule za msingi
Loading...
Date
2020-01
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
KIBU
Abstract
Mielekeo ni moja kati ya dhana za taaluma ya sayansi-tabia iliyoshughulikiwa na
watafiti kwa zaidi ya karne moja iliyopita. Mielekeo imefanyiwa uchunguzi
mwingi na matokeo yake kuchapishwa katika taaluma za saikolojia, isimujamii
na saikolojia jamii ya lugha (Kircheri, 2010). Kwa kuwa tafiti hizo zilifanywa
kwa misingi ya taaluma mbalimbali, hakuna fasili ya moja kwa moja ya mielekeo.
Hata hivyo, fasili zifuatazo zitaufaidi uchunguzi huu.
Description
Keywords
Mielekeo ya lugha, Ruwaza za matumizi, Kiswahili, Lugha na jamii