Search
Now showing items 1-1 of 1
Ufundishaji wa ushairi kwa kutumia tamthilia katika shule za upili nchini kenya: uchunguzi kifani wa kaunti ndogo ya teso kaskazini
(KIBU, 2019-11)
Tafiti nyingi zimefanywa kuhusu utanzu mmoja kutumika kuwasilisha mawazo katika utanzu mwingine. Mbinu ya mwelekeo mseto imetafitiwa na wataalam mbalimbali kuhusu isimu kutumika kufundisha fasihi na fasihi kutumika kufundisha ...