Utangulizi wa Mhariri: Mitazamo ya Fasihi Afrika Mashariki
No Thumbnail Available
Date
2019-11-25
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Eastern African Literary and Cultural Studies
Abstract
Hili toleo maalum la jarida la East African Literary and Cultural Studies, sio tu kwamba ni la kihistoria tu bali limetokea wakati mwafaka katika historia ya maendeleo ya Kiswahili. Kumekuwa na mwamko mpya kuhusiana na maendeleo ya Kiswahili ndani na nje ya Afrika Mashariki, mwamko ambao ni mwangwi wa mawanio na matarajio ya wakereketwa wa Kiswahili wa tangu azali. Baba wa fasihi ya kisasa ya Kiswahili Shaaban bin Robert au kwa jina jingine Shaaban Ulenge, alikuwa miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa fasihi ya Kiswahili na utetezi wa lugha hii ya mawasiliano mapana katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Description
Journal Article
Keywords
Fasihi, Upya, Uhakiki, Mitazamo, Afrika Mashariki
Citation
Waliaula, K. W. (2019) Utangulizi wa Mhariri: Mitazamo ya Fasihi Afrika Mashariki, Eastern African Literary and Cultural Studies, 5(3-4), 151-154, DOI: 10.1080/23277408.2019.1620978
