Search
Now showing items 1-2 of 2
Kufaa kwa nadharia ya uchanganuzi vijenzi katika uchambuzi wa hiponimia
(2017-10-03)
Hiponimia ni mojawapo ya mahusiano ya kifahiwa inayoashiria uhusiano ambapo leksimu ya
jumla inajumuisha kimaana leksimu mahususi. Uhusiano wa leksimu kihiponimia ulidhukuriwa
kuwa unafanana katika lugha anuwai ulimwenguni ...
Lugha kama rasilimali ya jamii: uchunguzi wa redio za fm zinazotumia kibukusu katika kaunti ya bungoma
(Moi University, 2017-01-12)
Matumizi ya lugha za kiasili yameshutumiwa na watu wengi kwa kukuza ukabila haswa nchini Kenya. Hata hivyo, lugha hizi zinaweza kuwa rasilimali kwa wazungumzaji zikitumiwa vyema. Utafiti huu ulilenga kuchunguza lugha za ...