Ndung’u, Jackson2019-04-022019-04-022018-06-12ISBN: ISBN: 978-9966-59-011-5http://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/515UtafitihuuumeongozwananadhariayautendajiiliyoasisiwanaWallaceBaconilikubainishaikiwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchangailiyoandikwana S.A. Mohamedimezingatiakigezokikuukatikamatinizakidramaambachoniuwezowakuwasilishwajukwaaniaunimajibizanoyausemitu.Katikautafitihuutumevitathminivipengelevinavyochocheanakufanikishautendajiwatamthiliakwenyejukwaa.Maelekezoyajukwaa,mandhari, maleba, miondoko, sauti, uangazaji, kimyanamihimilinivipengelevyautendajiambavyohuwawezeshawaigizajikuwasilishaujumbewamwandishikwenyejukwaa.Utafitihuuumejaribukubainishajinsivipengelehivivinavyofanikishauwasilishajiwaujumbekwenyejukwaana pia kutajakwaufupidhimazinazofungamananamatumiziyavipengelehivi. Utafitihuuulihusishakusomamakalanakutumiwakama data yautafitihuuambayobaadayeilichanganuliwanamwishowekuelezeamatokeokwakutumiambinuyakimaelezo. Utafitihuu pia ulihusishaukusanyajiwa data mojakwamojakutokamaktabani. Mahali pa utafitipalikuwanimaktabakatikavyuovikuupamojanamaktabayakitaifanchini Kenya nakundilengwalilikuwatamthiliayaKitumbuaKimeingiaMchanga. InatarajiwakuwautafitihuuutakuwamchangomkubwakwajamiiyawasomihasawanaoshughulikiautendajinavipengelevyakidramakatikafasihiandishienAttribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 United Stateshttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/3.0/us/Utendaji,tamthiliaNadharia ya UtendajidramaVipengele vya utendajiAnalysis of the aspect of drama in swahili play kitumbua kimeingia mchangaOther