Wamalwa, Eric WalelaMohochi, Ernest SangaiOdeo, Isaac Ipara2021-03-122021-03-122020-01http://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/2329Mielekeo ni moja kati ya dhana za taaluma ya sayansi-tabia iliyoshughulikiwa na watafiti kwa zaidi ya karne moja iliyopita. Mielekeo imefanyiwa uchunguzi mwingi na matokeo yake kuchapishwa katika taaluma za saikolojia, isimujamii na saikolojia jamii ya lugha (Kircheri, 2010). Kwa kuwa tafiti hizo zilifanywa kwa misingi ya taaluma mbalimbali, hakuna fasili ya moja kwa moja ya mielekeo. Hata hivyo, fasili zifuatazo zitaufaidi uchunguzi huu.SwahiliAttribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 United Stateshttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/3.0/us/Mielekeo ya lughaRuwaza za matumiziKiswahiliLugha na jamiiMielekeo ya Lugha na Ruwaza za Matumizi ya Lugha ya walimu wa Kiswahiliwa shule za msingiOther