Waliaula, Ken Walibora2024-11-152024-11-152010-11-15Waliaula, K.W. (2010). Uhalisia na Uhalisiamazingaombwe: Mshabaha Kati ya Dunia yao na the Tin Drum. Swahili Forum. 17(1), 143-157http://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/10600ArticleJe, kuna uhusiano gani kati ya Euphrase Kezilahabi wa Tanzania na Gabriel García Marquez wa Kolombia, au kati ya Kyallo Wadi Wamitila wa Kenya na Juan Rulfo wa Meksiko ama kati ya Günter Grass wa Ujerumani na Said Ahmed Mohamed wa Zanzibar? Waandishi hawa waliotengwa kitaifa na kilugha wanaunganishwa na uamuzi wao wa kuandika riwaya kwenye mtindo usiokuwa wa kawaida, mtindo wa uhalisiamazingaombweotherDunia YaoThe Tin Drumcomparative literatureUhalisia na UhalisiamazingaombweMshabaha Kati ya Dunia yao na the Tin Drum 1Article