Search
Now showing items 1-1 of 1
Kufaa kwa nadharia ya uchanganuzi vijenzi katika uchambuzi wa hiponimia
(2017-10-03)
Hiponimia ni mojawapo ya mahusiano ya kifahiwa inayoashiria uhusiano ambapo leksimu ya
jumla inajumuisha kimaana leksimu mahususi. Uhusiano wa leksimu kihiponimia ulidhukuriwa
kuwa unafanana katika lugha anuwai ulimwenguni ...