dc.contributor.author | Ndinyo, Stephen Muyundo | |
dc.contributor.author | Simiyu, Fred Wanjala | |
dc.contributor.author | Amukowa, Deborah | |
dc.date.accessioned | 2019-11-19T09:39:36Z | |
dc.date.available | 2019-11-19T09:39:36Z | |
dc.date.issued | 2019-08-23 | |
dc.identifier.uri | http://erepository.kibu.ac.ke/handle/123456789/1854 | |
dc.description.abstract | Masimulizi katika mchakato wa ufundishaji wa vipengele maaalum vya msuko
katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na ile ya Chozi la Heri. Lengo la Makala
haya lilikuwa ni kubainisha namna ambavyo masimulizi yalivyojitokeza katika
mchakato wa ufundishaji wa kipengele maalum cha msuko katika riwaya ya
Kidagaa Kimemwozea na ile ya Chozi la Heri. Utafiti huu ulitumia muundo wa
kithamano mkabala wa kimfano. Mbinu za ukusanyaji data zilizotumiwa ni
uchunzaji usaili na majadiliano ya vikundi viini. Data iliwasilishwa kwa
kutumia maelezo ya kifafanuzi ,majedwali, nukuu za dondoo kutoka kwa
mahojiano. Sampuli lengwa ilihusisha shule 10 kati ya 27, wasailiwa 18 kati ya
54 katika Kaunti ndogo ya Navakholo. Matokeo ni kwamba matukio
yalitiririshwa katika mchakato wa ufundishaji wa vipengele maalum vya fani na
maudhui katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea na ile ya Chozi la Heri. | en_US |
dc.language.iso | Swahili | en_US |
dc.publisher | Eanso | en_US |
dc.rights | Attribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 United States | * |
dc.rights.uri | http://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/3.0/us/ | * |
dc.subject | Masimulizi | en_US |
dc.subject | Mchakato | en_US |
dc.subject | Msuko | en_US |
dc.subject | Matukio | en_US |
dc.subject | Wahusika | en_US |
dc.subject | Maudhui | en_US |
dc.title | Masimulizi katika mchakato wa ufundishaji wa kipengele maalum cha msuko katika riwaya ya kidagaa kimemwozea na ile ya chozi la heri | en_US |
dc.type | Article | en_US |