Search
Now showing items 1-3 of 3
Ufundishaji wa ushairi kwa kutumia tamthilia katika shule za upili nchini kenya: uchunguzi kifani wa kaunti ndogo ya teso kaskazini
(KIBU, 2019-11)
Tafiti nyingi zimefanywa kuhusu utanzu mmoja kutumika kuwasilisha mawazo katika utanzu mwingine. Mbinu ya mwelekeo mseto imetafitiwa na wataalam mbalimbali kuhusu isimu kutumika kufundisha fasihi na fasihi kutumika kufundisha ...
Mchango wa tamasha za muziki katika ufundishaji wa uainishaji wa nyimbo katika shule za upili nchini kenya
(KIBU, 2019-11)
Wizara ya Elimu imekuwa ikitumia tamasha za muziki kuwaelimisha wanafunzi na hadhira kuhusu masuala mbalimbali. Tafiti nyingi zimefanywa kuhusu kipera cha nyimbo, lakini kuna haja ya kuchunguza njia mbadala za ufundishaji ...
Matumizi ya vifaa vya kisasa katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi: mfano wa shule za upili za kaunti ndogo ya Moiben, Kenya
(KIBU, 2019-11)
Utafiti ulichunguza matumizi ya vifaa vya kisasa katika ufundishaji na ujifunzaji wa
sarufi katika shule za upili zilizoko kaunti ndogo ya Moiben. Malengo ya utafiti yalikuwa
ni: Kuthibitisha upatikanaji wa vifaa vya ...